Mistari ya Biblia Kuhusu Maombolezo

Mistari 4 ya Biblia kuhusu Maombolezo ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

Ongeza mistari yote 4 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
01 Zaburi 13:1 Mstari mkuu

Hata lini, Ee BWANA? Je, utaendelea kunisahau kabisa? Hata lini utaugeuzia mbali uso wako?

02 Zaburi 42:11

Mbona umeinama hivyo, nafsi yangu? Mbona huku kuhangaika ndani yangu? Mngojee Mungu kwa tumaini; nitamshukuru tena, yeye anayeniokoa, Mungu wangu.

03 Zaburi 62:8

Enyi watu, mtegemeeni yeye kila wakati; mwagieni mioyo yenu mbele yake. Mungu ni kimbilio letu. Sela

04 Zaburi 30:5

Kwa maana hasira yake hupita kwa kitambo tu, lakini katika radhi yake mna uhai; kilio kinaweza kuja kulala usiku, lakini alfajiri kuna kelele za furaha.

Mada zinazohusiana