Mistari ya Biblia Kuhusu Utukufu Wake
Mistari 8 ya Biblia kuhusu Utukufu Wake ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Mbingu zinasema tena na tena jinsi Mungu alivyo mtukufu; kuba la anga linajulisha yale ambayo mikono yake imeyafanya.
Yaelezeni mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu aliyoyatenda.
Hata hivyo, hakika kama niishivyo, na hakika kama utukufu wa BWANA utakavyoijaza dunia yote,
Kwa maana vitu vyote vimetoka kwake, vipo kupitia yeye, na ni kwa ajili yake. Utukufu uwe kwake milele! Amina.
Jina lake tukufu na libarikiwe siku zote; utukufu wake na uijaze dunia yote. Amina na Amina.
Ndipo Musa akasema, “Tafadhali, niruhusu nione utukufu wako.”
Yaelezeni mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu aliyoyatenda.
Ee Mungu, uinuliwe juu ya mbingu; utukufu wako na uenee juu ya dunia yote.