Mistari ya Biblia Kuhusu Kazi

Mistari 7 ya Biblia kuhusu Kazi ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

Ongeza mistari yote 7 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
01 Wakolosai 3:23 Mstari mkuu

Lolote mnalofanya, lifanyeni kwa moyo wenu wote, kama kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu,

02 Wakolosai 3:24

mkijua kwamba mtapokea urithi kutoka kwa Bwana kuwa thawabu yenu. Ni Bwana Kristo mnayemtumikia kama watumwa.

03 Mithali 16:3

Mkabidhi BWANA kila unachofanya, na mipango yako itasimama imara.

04 1 Wakorintho 10:31

Basi, mnapokula, mnapokunywa, chochote mnachofanya, fanyeni kila kitu kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

05 Mithali 14:23

Kila kazi ngumu huleta faida, bali maneno matupu huleta umaskini tu.

Kwa maana hata tulipokuwa pamoja nanyi, tuliwapa agizo hili: “Asiyetaka kufanya kazi, na asile.”

07 Mwanzo 2:15

BWANA Mungu akamchukua mtu, akamweka akae katika bustani ya Edeni, aishughulikie na kuitunza.

Mada zinazohusiana