Mistari ya Biblia Kuhusu Upole
Mistari 5 ya Biblia kuhusu Upole ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 5 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Heri walio wapole: watairithi dunia.
upole na kujitawala. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya.
03 Hesabu 12:3
Basi Musa alikuwa mnyenyekevu mno, kuliko mwanadamu mwingine yeyote duniani.
04 1 Petro 3:4
Bali liwe utu wa ndani uliofichika moyoni, uliopambwa kwa kitu kisichoharibika kamwe, yaani roho ya upole na ya utulivu, ambayo Mungu anaithamini sana.
Ninyi ni watu wa Mungu aliowachagua, watakatifu, na mnaopendwa na yeye. Kwa hiyo vaeni, kama mavazi, moyo wenye huruma, fadhili, unyenyekevu, upole na subira.