Mistari ya Biblia Kuhusu Kuwabariki Wengine

Mistari 5 ya Biblia kuhusu Kuwabariki Wengine ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

Ongeza mistari yote 5 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
01 Warumi 12:14 Mstari mkuu

Wabarikini watu wanaowatesa. Wabarikini, wala msiwalaani.

02 1 Petro 3:9

Msimlipe mtu ubaya kwa ubaya wala matusi kwa matusi. Badala yake, wabarikini, kwa sababu Mungu aliwaita kwa ajili hiyo, ili mrithi baraka.

03 Luka 6:28

Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.

04 Mathayo 5:44

Lakini mimi nawaambia: wapendeni maadui wenu, na muwaombee watu wanaowatesa,

05 Mwanzo 12:2

Nitakufanya kuwa taifa kubwa; nitakubariki na kukupa jina kuu, ili wewe uwe baraka.

Mada zinazohusiana