Mistari ya Biblia Kuhusu Utii ni Bora kuliko Dhabihu

Mistari 3 ya Biblia kuhusu Utii ni Bora kuliko Dhabihu ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

Ongeza mistari yote 3 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
01 1 Samweli 15:22 Mstari mkuu

Samweli akasema, “Je, BWANA hupendezwa na sadaka za kuteketezwa na dhabihu kama anavyopendezwa na kuitii sauti ya BWANA? Tazama, kutii ni bora kuliko dhabihu, na kusikiliza ni bora kuliko mafuta ya kondoo dume.

02 Zaburi 51:16-17

Si dhabihu wewe unayoitaka, la sivyo ningeitoa; sadaka ya kuteketezwa haikupendezi. Dhabihu ambazo Mungu anazikubali ni roho iliyopondeka. Moyo uliovunjika na kupondwa, Ee Mungu, wewe hutaukataa kamwe.

03 Mathayo 9:13

Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ‘Ninataka rehema, si dhabihu.’ Kwa maana sikuja kuwaita watu wenye haki, bali wenye dhambi.”

Mada zinazohusiana