Mistari ya Biblia Kuhusu Kila Aitaye
Mistari 5 ya Biblia kuhusu Kila Aitaye ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 5 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Kwa maana “wote watakaoliitia jina la Bwana wataokolewa.”
02 Matendo 2:21
Ndipo kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.’
03 Warumi 10:11
Kwa maana Maandiko yanasema, “Yeyote anayemwamini hataaibika.”
BWANA yuko karibu na kila anayemlilia, na wote wanaomlilia kwa moyo mnyofu.
Sasa unangoja nini tena? Inuka ubatizwe. Dhambi zako zioshwe mbali unapoliitia jina lake.’