Mistari ya Biblia Kuhusu Mungu Asiyebadilika
Mistari 4 ya Biblia kuhusu Mungu Asiyebadilika ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 4 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Jana na leo, Yesu Kristo ni yuleyule, na atakuwa hivyo hata zama zote.
02 Yakobo 1:17
Kila tendo jema la kutoa na kila zawadi kamilifu hutoka juu. Hushuka kutoka kwa Baba wa mianga ya angani, ambaye hana mabadiliko yoyote wala kivuli kinachotokana na mzunguko.
Lakini wewe ndiwe usiyebadilika, na miaka yako haitakwisha kamwe.
04 Zaburi 33:11
Kusudi la BWANA husimama imara milele, na yale aliyoyapanga moyoni mwake hudumu katika kila kizazi.