Mistari ya Biblia Kuhusu Huwaponya Waliovunjika Moyo
Mistari 4 ya Biblia kuhusu Huwaponya Waliovunjika Moyo ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 4 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Huwaponya wale ambao mioyo yao imepondeka na kuyafunga majeraha yao.
02 Zaburi 34:18
BWANA hukaa karibu na wale ambao mioyo yao imevunjika, na huwaokoa wale ambao roho zao zimepondeka.
03 Zaburi 51:17
Dhabihu ambazo Mungu anazikubali ni roho iliyopondeka. Moyo uliovunjika na kupondwa, Ee Mungu, wewe hutaukataa kamwe.
Njooni kwangu, nyote mliochoshwa na kazi ngumu na kuelemewa na mizigo mizito, nami nitawapa pumziko.