Mistari ya Biblia Kuhusu Dhambi Hazikumbukwi Tena

Mistari 5 ya Biblia kuhusu Dhambi Hazikumbukwi Tena ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

Ongeza mistari yote 5 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
01 Waebrania 8:12 Mstari mkuu

“Kwa maana nitaonyesha rehema kwa makosa yao, wala sitazileta tena akilini dhambi zao.”

02 Waebrania 10:17

Kisha anaongeza, “Dhambi zao na matendo yao ya uasi sitavikumbuka tena hata kidogo.”

03 Zaburi 103:12

Kama mawio yalivyo mbali na machweo, ndivyo alivyoyaweka matendo yetu ya uasi mbali nasi.

04 Waebrania 10:18

Na mara haya yakishasamehewa, hakuna tena sadaka ya dhambi inayohitajika kutolewa.

05 Warumi 4:8

Ana furaha kweli mtu ambaye Bwana hatamhesabia dhambi yake kamwe!”

Mada zinazohusiana