Mistari ya Biblia Kuhusu Kama Mashariki Ilivyo Mbali
Mistari 3 ya Biblia kuhusu Kama Mashariki Ilivyo Mbali ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 3 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Kama mawio yalivyo mbali na machweo, ndivyo alivyoyaweka matendo yetu ya uasi mbali nasi.
Ee BWANA, kama ungehesabu kila kosa, Bwana, ni nani angeweza kusimama mbele yako? Lakini kwako msamaha unapatikana, na hivyo watu wanakucha.
“Kwa maana nitaonyesha rehema kwa makosa yao, wala sitazileta tena akilini dhambi zao.”