Mistari ya Biblia Kuhusu Shika Sana

Mistari 5 ya Biblia kuhusu Shika Sana ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

01 Waebrania 10:23

Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.

02 Waebrania 3:14

Kwa kuwa tumekuwa washiriki wa Kristo, kama tukishikamana tu kwa uthabiti na tumaini letu la kwanza hadi mwisho.

Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema.

04 Ufunuo 3:11

“Ninakuja upesi. Shika sana ulicho nacho, ili mtu asije akaichukua taji yako.

05 Wafilipi 2:16

Mkilishika neno la uzima, ili nipate kuona fahari siku ya Kristo kwamba sikupiga mbio wala kujitaabisha bure.

Mada zinazohusiana