Mistari ya Biblia Kuhusu Rejesha Furaha
Mistari 5 ya Biblia kuhusu Rejesha Furaha ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 5 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Nipe tena furaha ya wokovu wako, na unidumishe imara kwa roho iliyo tayari.
02 Zaburi 51:10
Ee Mungu, niumbie moyo uliotakasika, na uifanye roho yangu kuwa mpya na imara ndani yangu.
03 Zaburi 30:5
Kwa maana hasira yake hupita kwa kitambo tu, lakini katika radhi yake mna uhai; kilio kinaweza kuja kulala usiku, lakini alfajiri kuna kelele za furaha.
Ya Daudi. Maskili. Ana heri kweli mtu ambaye uasi wake umesamehewa, ambaye dhambi yake imefunikwa! Ana heri kweli mtu ambaye BWANA hamhesabii hatia yake, ambaye hana udanganyifu rohoni mwake!
05 Zaburi 51:8
Yajaze masikio yangu shangwe na furaha; mifupa ambayo wewe uliivunja na icheze.