Mistari ya Biblia Kuhusu Huruma
Mistari 4 ya Biblia kuhusu Huruma ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 4 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Kama vile baba anavyowaonea huruma watoto wake, BWANA huwaonea upendo mwororo wote wamchao.
02 Zaburi 145:8
BWANA amejaa neema na huruma; huchelewa kukasirika na ni mkuu katika upendo usiokoma.
03 Mathayo 9:36
Alipoyaona makundi ya watu, aliwahurumia kutoka moyoni, kwa sababu walikuwa wamechoshwa na kutelekezwa, kama kondoo bila mchungaji.
04 Zaburi 116:5
BWANA huonyesha neema na hutenda yaliyo haki; Mungu wetu ni mpole na mwenye rehema.