Mistari ya Biblia Kuhusu Ukaribu wa Mungu
Mistari 5 ya Biblia kuhusu Ukaribu wa Mungu ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 5 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
BWANA yuko karibu na kila anayemlilia, na wote wanaomlilia kwa moyo mnyofu.
02 Yakobo 4:8
Jongeeni karibu na Mungu, naye atajongea karibu nanyi. Osheni mikono yenu iwe safi, enyi watenda dhambi, na mfanye mioyo yenu iwe safi, ninyi wenye nia mbili.
03 Zaburi 34:18
BWANA hukaa karibu na wale ambao mioyo yao imevunjika, na huwaokoa wale ambao roho zao zimepondeka.
Kwa maana ni taifa gani kubwa lenye miungu iliyo karibu nalo kama BWANA Mungu wetu alivyo karibu nasi kila tunapomlilia?
ili wamtafute Mungu, na labda wapapase-papase kumwelekea na kumpata. Hata hivyo, yeye hayuko mbali na yeyote kati yetu.