Mistari ya Biblia Kuhusu Aibu
Mistari 3 ya Biblia kuhusu Aibu ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.
Ongeza mistari yote 3 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
Kwa maana Maandiko yanasema, “Yeyote anayemwamini hataaibika.”
02 Zaburi 34:5
Wale wanaomtazama yeye hung’aa kwa furaha, wala aibu haitazitia giza nyuso zao.
03 Warumi 8:1
Basi sasa, wale walio katika Kristo Yesu hawakabiliwi na hukumu yoyote ya kuadhibiwa.