Mistari ya Biblia Kuhusu Mpendwa

Mistari 4 ya Biblia kuhusu Mpendwa ya kusoma, kutafakari, na kuikariri.

Ongeza mistari yote 4 Fungua akaunti ya bure ili kuikariri.
01 Wakolosai 3:12 Mstari mkuu

Ninyi ni watu wa Mungu aliowachagua, watakatifu, na mnaopendwa na yeye. Kwa hiyo vaeni, kama mavazi, moyo wenye huruma, fadhili, unyenyekevu, upole na subira.

02 1 Yohana 3:1

Fikirini upendo mkuu ambao Baba ametupatia: tunaitwa watoto wa Mungu, na kweli sisi ni watoto wake. Sababu ya ulimwengu kutotujua ni kwamba haukumjua yeye.

03 Warumi 1:7

Kwa ninyi nyote mlioko Roma, mnaopendwa na Mungu na mlioitwa kuwa watakatifu wake: neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi.

04 Waefeso 1:6

ili neema yake yenye utukufu isifiwe, neema ambayo ametupa bure katika yule Mpendwa.

Mada zinazohusiana